1 Kor. 3:18 SUV

18 Mtu asijidanganye mwenyewe; kama mtu akijiona kuwa mwenye hekima miongoni mwenu katika dunia hii, na awe mpumbavu, ili apate kuwa mwenye hekima.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 3

Mtazamo 1 Kor. 3:18 katika mazingira