1 Kor. 4:10 SUV

10 Sisi tu wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi ni wenye akili katika Kristo; sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; ninyi mna utukufu, lakini sisi hatupati heshima.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 4

Mtazamo 1 Kor. 4:10 katika mazingira