1 Kor. 4:9 SUV

9 Maana nadhani ya kuwa Mungu ametutoa sisi mitume mwisho, kama watu waliohukumiwa wauawe; kwa sababu tumekuwa tamasha kwa dunia; kwa malaika na wanadamu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 4

Mtazamo 1 Kor. 4:9 katika mazingira