1 Kor. 4:5 SUV

5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 4

Mtazamo 1 Kor. 4:5 katika mazingira