1 Kor. 4:6 SUV

6 Basi ndugu, mambo hayo nimeyafanya kuwa mfano wa mimi na Apolo kwa ajili yenu, ili kwamba kwa mfano wetu mpate kujifunza kutokupita yale yaliyoandikwa; ili mmoja wenu asijivune kwa ajili ya huyu, kinyume cha mwenziwe.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 4

Mtazamo 1 Kor. 4:6 katika mazingira