1 Na kwa habari ya vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; Twajua ya kuwa sisi sote tuna ujuzi. Ujuzi huleta majivuno, bali upendo hujenga.
Kusoma sura kamili 1 Kor. 8
Mtazamo 1 Kor. 8:1 katika mazingira