1 Kor. 7:40 SUV

40 Lakini heri yeye zaidi akikaa kama alivyo; ndivyo nionavyo mimi, nami nadhani ya kuwa mimi nami nina Roho wa Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 7

Mtazamo 1 Kor. 7:40 katika mazingira