Ebr. 5:7 SUV

7 Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;

Kusoma sura kamili Ebr. 5

Mtazamo Ebr. 5:7 katika mazingira