Mdo 10:33 SUV

33 Mara nikatuma watu kwako, nawe umefanya vyema kuja. Basi sasa sisi sote tupo hapa mbele za Mungu, tupate kuyasikiliza maneno yote uliyoamriwa na Bwana.

Kusoma sura kamili Mdo 10

Mtazamo Mdo 10:33 katika mazingira