4 Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Kusoma sura kamili Mdo 10
Mtazamo Mdo 10:4 katika mazingira