Mdo 10:41 SUV

41 si kwa watu wote, bali kwa mashahidi waliokuwa wamekwisha kuchaguliwa na Mungu, ndio sisi, tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka kwa wafu.

Kusoma sura kamili Mdo 10

Mtazamo Mdo 10:41 katika mazingira