Mdo 10:9 SUV

9 Hata siku ya pili, walipokuwa wakisafiri na kuukaribia mji, Petro alipanda juu darini, kwenda kuomba, yapata saa sita ya mchana;

Kusoma sura kamili Mdo 10

Mtazamo Mdo 10:9 katika mazingira