Mdo 11:1 SUV

1 Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa Mataifa nao wamelipokea neno la Mungu.

Kusoma sura kamili Mdo 11

Mtazamo Mdo 11:1 katika mazingira