16 Nayo makutano ya watu wa miji iliyoko kandokando ya Yerusalemu wakakutanika, wakileta wagonjwa, nao walioudhiwa na pepo wachafu; nao wote wakaponywa.
Kusoma sura kamili Mdo 5
Mtazamo Mdo 5:16 katika mazingira