Mdo 5:28 SUV

28 akisema, Je! Hatukuwaamuru ninyi kwa nguvu, msifundishe kwa jina hili? Nanyi, tazameni, mmeijaza Yerusalemu mafundisho yenu, na mnataka kuileta damu ya mtu yule juu yetu.

Kusoma sura kamili Mdo 5

Mtazamo Mdo 5:28 katika mazingira