Mdo 5:36 SUV

36 Kwa sababu kabla ya siku hizi aliondoka Theuda, akijidai ya kuwa yeye ni mtu mkuu, watu wapata mia nne wakashikamana naye; naye aliuawa na wote waliomsadiki wakatawanyika wakawa si kitu.

Kusoma sura kamili Mdo 5

Mtazamo Mdo 5:36 katika mazingira