Mdo 5:4 SUV

4 Kilipokuwa kwako, hakikuwa mali yako? Na kilipokuwa kimekwisha kuuzwa, thamani yake haikuwa katika uwezo wako? Ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako? Hukumwambia uongo mwanadamu, bali Mungu.

Kusoma sura kamili Mdo 5

Mtazamo Mdo 5:4 katika mazingira