Mdo 5:41 SUV

41 Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya Jina hilo.

Kusoma sura kamili Mdo 5

Mtazamo Mdo 5:41 katika mazingira