26 Siku ya pili yake akawatokea walipokuwa wakishindana, akataka kuwapatanisha, akisema, Enyi bwana zangu, ninyi ni ndugu. Mbona mnadhulumiana?
Kusoma sura kamili Mdo 7
Mtazamo Mdo 7:26 katika mazingira