Mdo 7:44 SUV

44 Ile hema ya ushahidi ilikuwa pamoja na baba zetu jangwani, kama alivyoagiza yeye aliyesema na Musa, ya kwamba aifanye sawasawa na mfano ule aliouona;

Kusoma sura kamili Mdo 7

Mtazamo Mdo 7:44 katika mazingira