Mdo 7:51 SUV

51 Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya, na ninyi ni vivyo hivyo.

Kusoma sura kamili Mdo 7

Mtazamo Mdo 7:51 katika mazingira