Mk. 11:17 SUV

17 Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.

Kusoma sura kamili Mk. 11

Mtazamo Mk. 11:17 katika mazingira