Mk. 11:18 SUV

18 Wakuu wa makuhani na waandishi wakapata habari wakatafuta jinsi ya kumwangamiza; maana walimwogopa, kwa sababu mkutano wote walishangaa kwa mafundisho yake.

Kusoma sura kamili Mk. 11

Mtazamo Mk. 11:18 katika mazingira