Mk. 13:8 SUV

8 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na matetemeko ya nchi mahali mahali; kutakuwako na njaa; hayo ndiyo mwanzo wa utungu.

Kusoma sura kamili Mk. 13

Mtazamo Mk. 13:8 katika mazingira