Mk. 13:9 SUV

9 Nanyi jihadharini nafsi zenu; maana watawapeleka ninyi mabarazani; na katika masinagogi mtapigwa; nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao.

Kusoma sura kamili Mk. 13

Mtazamo Mk. 13:9 katika mazingira