Mk. 14:72 SUV

72 Na mara jogoo akawika mara ya pili. Petro akalikumbuka lile neno aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu. Na alipolifikiri, akalia. a.

Kusoma sura kamili Mk. 14

Mtazamo Mk. 14:72 katika mazingira