Mk. 15:1 SUV

1 Mara kulipokuwa asubuhi wakuu wa makuhani walifanya shauri pamoja na wazee na waandishi na baraza nzima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta mbele ya Pilato.

Kusoma sura kamili Mk. 15

Mtazamo Mk. 15:1 katika mazingira