Mk. 6:30 SUV

30 Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:30 katika mazingira