Mk. 6:31 SUV

31 Akawaambia, Njoni ninyi peke yenu kwa faragha, mahali pasipokuwa na watu, mkapumzike kidogo. Kwa sababu walikuwako watu wengi, wakija, wakienda, hata haikuwapo nafasi ya kula.

Kusoma sura kamili Mk. 6

Mtazamo Mk. 6:31 katika mazingira