Mk. 8:12 SUV

12 Akaugua rohoni mwake, akasema, Mbona kizazi hiki chatafuta ishara? Amin, nawaambieni, Hakitapewa ishara kizazi hiki.

Kusoma sura kamili Mk. 8

Mtazamo Mk. 8:12 katika mazingira