Mt. 1:18 SUV

18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Mt. 1

Mtazamo Mt. 1:18 katika mazingira