Mt. 10:16 SUV

16 Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.

Kusoma sura kamili Mt. 10

Mtazamo Mt. 10:16 katika mazingira