Mt. 10:23 SUV

23 Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.

Kusoma sura kamili Mt. 10

Mtazamo Mt. 10:23 katika mazingira