Mt. 10:41 SUV

41 Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki.

Kusoma sura kamili Mt. 10

Mtazamo Mt. 10:41 katika mazingira