Mt. 11:21 SUV

21 Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu zamani kwa kuvaa magunia na majivu.

Kusoma sura kamili Mt. 11

Mtazamo Mt. 11:21 katika mazingira