Mt. 11:25 SUV

25 Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.

Kusoma sura kamili Mt. 11

Mtazamo Mt. 11:25 katika mazingira