Mt. 11:27 SUV

27 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

Kusoma sura kamili Mt. 11

Mtazamo Mt. 11:27 katika mazingira