Mt. 11:7 SUV

7 Na hao walipokwenda zao, Yesu alianza kuwaambia makutano habari za Yohana, Mlitoka kwenda nyikani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?

Kusoma sura kamili Mt. 11

Mtazamo Mt. 11:7 katika mazingira