Mt. 12:29 SUV

29 Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? Ndipo atakapoiteka nyumba yake.

Kusoma sura kamili Mt. 12

Mtazamo Mt. 12:29 katika mazingira