Mt. 12:32 SUV

32 Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.

Kusoma sura kamili Mt. 12

Mtazamo Mt. 12:32 katika mazingira