Mt. 12:34 SUV

34 Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.

Kusoma sura kamili Mt. 12

Mtazamo Mt. 12:34 katika mazingira