Mt. 12:36 SUV

36 Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.

Kusoma sura kamili Mt. 12

Mtazamo Mt. 12:36 katika mazingira