Mt. 12:41 SUV

41 Watu wa Ninawi watasimama siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nao watawahukumu kuwa wamekosa; kwa sababu wao walitubu kwa mahubiri ya Yona; na hapa yupo aliye mkuu kuliko Yona.

Kusoma sura kamili Mt. 12

Mtazamo Mt. 12:41 katika mazingira