Mt. 13:12

Swahili Union Version

12Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa, naye atazidishiwa tele; lakini ye yote asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.

Mt. 13:12 — SUV