Mt. 13:17 SUV

17 Kwa maana, amin, nawaambia, Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi, wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi, wasiyasikie.

Kusoma sura kamili Mt. 13

Mtazamo Mt. 13:17 katika mazingira