Mt. 13:27 SUV

27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?

Kusoma sura kamili Mt. 13

Mtazamo Mt. 13:27 katika mazingira