Mt. 14:13 SUV

13 Naye Yesu aliposikia; hayo, aliondoka huko katika chombo, akaenda mahali pasipo watu, faraghani. Na makutano waliposikia, walimfuata kwa miguu kutoka mijini mwao.

Kusoma sura kamili Mt. 14

Mtazamo Mt. 14:13 katika mazingira