Mt. 14:15 SUV

15 Hata kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea, wakasema, Mahali hapa ni nyika tupu, na saa imekwisha pita; uwaage makutano, waende zao vijijini, wakajinunulie vyakula.

Kusoma sura kamili Mt. 14

Mtazamo Mt. 14:15 katika mazingira