Mt. 16:21 SUV

21 Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.

Kusoma sura kamili Mt. 16

Mtazamo Mt. 16:21 katika mazingira