Mt. 17:10 SUV

10 Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?

Kusoma sura kamili Mt. 17

Mtazamo Mt. 17:10 katika mazingira